Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Tuesday, September 27, 2011

UZINDUZI WA TP SUNDAY BONANZA ULIOFUNGULIWA RASMI NA MGENI RASMI MBUNGE WA KINONDONI,IDD AZAN

Mbunge wa Kinondoni,Idd Azan (katikati) akiwasili Uwanja wa TP kwa ufunguzi wa TP Sunday Bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki Sinza Dar es Salaam ambalo litakuwa likifanyikia kila jumapili likisindikizwa na Bendi ya Extra Bongo
Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan akikaguwa timu wakati wa ufunguzi huo
Akikagua
Mbunge,Idd Azan akizungumza na wachezaji
Akizungumza
Wachezaji wakisalimia
Timu ya MSD wakiwa kwenye picha ya pamoja
Picha ya Pamoja
Wachezaji wakiwa tayari kwa kucheza
Kamati ikipeana maelezezo
Diwani wa Sinza akiongozana na wanakamati kufanya ufunguzi
Mashabiki wakifuatilia Bonanza
Diwani akikagua timu
Mratibu wa Bonanza akihamasisha jambo
Wadau wa Bonanza wakijivinjari
Waandaaji wa Bonanza wakifuatilia kwa makini mambo yanavyokwenda
Mc na mmoja ya waandaaji wa Bonanza,Christopher Lissa akihamasisha jambo
Wapenzi na mashabiki wakifuatilia
Wadau na wadhamini wa Bonanza wakifuatilia
Diwani akikagua
Akizungumza na wachezaji
Mkurugenzi wa Extra Bongo,Ally Chocky akizungumza na wachezaji wakati wa ufunguzi
Chocky akizungumza
Wapenzi wa Bonanza wakifuatilia
Mkurugenzi wa Extra Bongo,Ally Chocky akiimba wakati wa Bonanza hilo
Wapenzi wakifuatilia
Wacheza shoo wakionyesha umahili wao

0 maoni:

Post a Comment