
Mcheza shoo wa Extra Bongo, Super Danger akionyesha umahili wake kwenye Ukumbi wa nyumbani Meeda Jijini Dar es salam mwishoni mwa wiki

Wakina dada wakicheza kwa style ya madaha..

Mdau akiwatunza wakinadada baada ya kuguswa na uchezaji wao

Rapa wa Extra Bongo akiimba wakati wa onyesho hilo

Mpiga tumba,Chakuku akionyesha umahili wake kwenye tumba

Wanahabari wakifuatilia kwa makini shoo hiyo

Aaa, Saullo.........

Hapo sasa...

Mdau na shabiki wa Extra Bongo akimpongeza mcheza shoo Nyamwela

Mh......

Haya sasa......

Twende Master B

Ally uko juuuuuu.....

Teacher hapo unauaaaaa....

Choki akiwa na wadau

Super Danger haya sasa...

Wadada huo mkao gani tena?

Hapo mnajiandaa kukimbia au ni style ya kucheza?

Aha......

Mdau akisikilisa bass kwa makini toka kwa muimbaji,Rama Pentagoni

Mwalimu wa waalimu akiimba akiwa ametoka kiana

Haya sasa
0 maoni:
Post a Comment