

Norway’s sovereign wealth fund has divested one of the world’s largest telecommunications companies over allegations of corruption and bribery.
In a statement, the fund’s manager, Norges Bank Investment Management, said its executive committee felt it was inappropriate to exercise its ownership rights to bring about change and instead opted to divest its stake worth NOK85m, accounting for just 0.15% in voting rights.
The Council’s report from June last year noted the company had been sent a draft version of its report but had not commented in the findings, which listed allegations of corruption in 18 countries.
Kampuni ya Huawei yatoa toleo jipya
Nevada.
KAMPUNI ya
Huawei Consumer Business Group imezindua aina mpya ya simu za kisasa ya Huawei
Mate 8.
Uzinduzi huo
wa simu ulifanyika Las Vegas Marekani na kuhudhuriwa na viongozi wa juu wa
Kampuni hiyo Duniani.
Mkuu wa
Biashara wa Kampuni hiyo, Kavin Ho alisema Huawei Mate 8 ni simu yenye uwezo
mkubwa wa kurahisisha mawasiliano ikiwa na betri linalodumu muda mrefu.
Alisema
wameamua kuzindua simu hiyo ya kisasa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni yao kutoa
bidhaa bora kwa wateja wao na kukuza soko.
Alisema kuwa
watumiaji wa simu hiyo wanaweza kutumia simu hiyo katika shughuli zao
mbalimbali za kikazi na kufanya ufanisiwake kwani teknolojia iliyotumika katika
utengenezaji ni ya hali juu.
“Unaweza
kuitumia simu hii kufanya shughuli mbalimbali, kwa ufanisi wa hali ya juu,ina
kasi na ufanisi mkubwa na betri lake likidumu kwa muda mrefu,” alisema Ho.
Alifafanua
kuwa wameamua kutoa simu hiyo kwa kuzingatia hali halisi ya kukua kwa kasi ya sekta ya mawasiliano.
0 maoni:
Post a Comment